Wednesday, May 30, 2012

Wednesday, May 16, 2012

DAY ONE IN CHINA

Haya Day One ilikuwa kiboko si unajua tena nchi zawatu majira yalichange yaani mbele nyuma nyuma mbele
Usijiulize nilitaka kuwa askari wa kichina ama la hasha ni majonjo ya hapa na pale

Mkurugenzi na Dada Lidya tukiwa na chudi chudi hiyo ni moja ya lugha za wenzetu kazi kweli kweli
mmh hapo sisemi ila tambua tuko pamoja



Inanitosha jamni kama saizi ruksa ushauri nichukue ila pakuvalia sasa kazi kweli kweli
Naomba nichagulie disn nzuri na mimi nipendeze

Ki ukweli sisi kila siku tunalilia kuijua lugha ya wenzetuuuu huko amerika lakini kidogo nimeona tofauti kubwa sana kwa wenzetu wachina they dont care kujua wewe ndiye uliyewafuata so look fo mkalimani , niliipenda hiyo ila wako very sharp kwa kila wanachofanya si kama vijana wa nyumbani hapa tunajibweteka tuuu na kuanza kulaumu serekali ya ubinafsishaji ,we wont reach there even ten year coming . see you sooon kwenye dinner

Sunday, May 13, 2012

HAYA MAMBO YA SAFARI NZIMA YA CHINA

Najua wengi mlikuwa mnasubiri yaliyojiri huko nchi za watu haya hii hapa safari ya huko nakupeleka hatua kwa hatua ili utamu usiishe hii ni sehemu ya kwanza ya safari yetu china
 Mwalimu Nyerere VIP lounge tukisubiri kupanda pipa ili tuanze mchakato mzima wa safari ya kwenda huko tutafika tu wala msiofu taratibundo mwendo


Shemeji katika mchakato mzima
Dada akiwa Dubai Airport

Kaka lema one on move




Kazi ilikuwa moja tu maeneo ya Dubai Airport kuwapiga picha kila kona yajengo haswa kona zinazoonekana nzuri
Tulipowasili Dubai moja kwa moja hotelin kwa ajili ya kusubiria next flightkwenda hukooooo
Mji wa Dubai kwa karibu zaidi
hapo kwenye shuttle nikiangalia kwa makini mazingira ya Dubai 

Tunaenda kuliunga sasa tayari kwa safari

Haya mimi naanza safari ungana na mimi ili kujua yale unayoyataka angalau kwa ufupi ila kwa leo tuishie hapa

Friday, March 02, 2012

CLEOPATRA FUCTION PLACE


Cleopatra Function Place Banquet Facility will continually strive to be the premier special events . We want our guests to experience events that are pleasing to all the senses as well as the palate.
Cleopatra Place Banquet Facility offers our guests an elegant setting for their special day along with an extensive International menu. We go the extra mile and offer a much needed service for today’s busy bride: A ONE STOP SHOP. We will take care of all the details including: a fully set up hall, catering, entertainers and DJ’s, alcohol and bartenders We will as well advice on how to get a good  photography, videography,  cakes, ceremonies, plus any other services our brides request. All at affordable prices that will fit most any budget.


We have the solid experience and all the resources every bride wants, therefore, we are better able to offer a helping hand during a most difficult and confusing planning process. Because of the demands of today’s busy lifestyles and the extensive process of planning a wedding, we come in to make every bride’s wedding day dream come true –

                                                      ALL UNDER ONE ROOF